Mwajiri
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba
Eneo
Unguja
Tarehe ya mwisho
2026-09-27
Nafasi
4
Chanzo kilikaguliwa
2026-09-23

Sifa na majukumu

38. Afisa Msanifu wa Mifumo (System Developers) Daraja la II
(ZPSE - 08) Nafasi 4 Unguja
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
• Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani
Sayansi ya Kompyuta au Teknologia ya Habari na
Mawasiliano (IT) au Uhandisi wa Compyuta au
Uhandisi wa Mifumo kutoka katika Chuo
kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar.

Masharti ya jumla

Jinsi ya Kuomba:
• Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa
Maombi ya Ajira (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo:
https://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 08 Septemba, 2026 hadi
tarehe 27 Septemba, 2026.
• Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi Serikalini
www.zanajira.go.tz.
• Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa
ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR
• Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.
• Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of Results”
pekee maombi yake hayatazingatiwa.
• Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini
kupitia simu Nam. 0773101012.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA:
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI.
ZANZIBAR.