Mwajiri
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba
Eneo
Unguja, Pemba
Tarehe ya mwisho
2026-09-27
Nafasi
23
Chanzo kilikaguliwa
2026-09-23

Sifa na majukumu

6. Mwalimu wa ‘Biology’ Daraja la III (ZPSG - 08) Nafasi 13
Unguja na Nafasi 10 Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
• Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya
‘Biology’ kutoka katika chuo kinachotambuliwa na
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Masharti ya jumla

Jinsi ya Kuomba:
• Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa
Maombi ya Ajira (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo:
https://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 08 Septemba, 2026 hadi
tarehe 27 Septemba, 2026.
• Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi Serikalini
www.zanajira.go.tz.
• Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa
ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR
• Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.
• Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of Results”
pekee maombi yake hayatazingatiwa.
• Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini
kupitia simu Nam. 0773101012.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA:
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI.
ZANZIBAR.