- Mwajiri
- Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba
- Eneo
- Unguja, Pemba
- Tarehe ya mwisho
- 2026-09-27
- Nafasi
- 25
- Chanzo kilikaguliwa
- 2026-09-23
Sifa na majukumu
9. Mwalimu wa ‘Computer Science’ Daraja la II
(ZPSG - 06) Nafasi 13 Unguja na Nafasi 12 Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya
Sayansi ya Komputer au fani ya ualimu kati ya “Computer with
education” au ICT with education” kutoka katika Chuo
kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Masharti ya jumla
Jinsi ya Kuomba:
• Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa
Maombi ya Ajira (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo:
https://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 08 Septemba, 2026 hadi
tarehe 27 Septemba, 2026.
• Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi Serikalini
www.zanajira.go.tz.
• Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa
ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR
• Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.
• Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of Results”
pekee maombi yake hayatazingatiwa.
• Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini
kupitia simu Nam. 0773101012.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA:
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI.
ZANZIBAR.