- Mwajiri
- Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba
- Eneo
- Unguja, Pemba
- Tarehe ya mwisho
- 2026-09-27
- Nafasi
- 25
- Chanzo kilikaguliwa
- 2026-09-23
Sifa na majukumu
12. Mwalimu wa ‘Geography’ Daraja la III (ZPSG - 08)
Nafasi 13 Unguja na Nafasi 12 Pemba
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
• Awe amehitimu Stashahada ya Ualimu wa masomo ya
Geography kutoka katika Chuo kinachotambulika na
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Masharti ya jumla
Jinsi ya Kuomba:
• Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa
Maombi ya Ajira (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo:
https://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 08 Septemba, 2026 hadi
tarehe 27 Septemba, 2026.
• Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi Serikalini
www.zanajira.go.tz.
• Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa
ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR
• Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.
• Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of Results”
pekee maombi yake hayatazingatiwa.
• Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini
kupitia simu Nam. 0773101012.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA:
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI.
ZANZIBAR.