Nyingine · Haijatajwa
Chanzo rasmiMhandisi Ujenzi Daraja la II
Ofisi ya Wakala wa Majengo Zanzibar
UngujaWanaoanza · Haijatajwa4 nafasi zilizo waziMwisho 29 Novemba 2026Imekaguliwa 24 Nov 2026

Kuhusu nafasi hii
Muhtasari wa nafasi
- Mhandisi Ujenzi Daraja la II – (ZPSG-08) Nafasi 2 – Unguja na Nafasi 2 -
Pemba
Sifa za Muombaji:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi Ujenzi
(Civil Engineer ) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.