Nyingine · Haijatajwa
Chanzo rasmiMkadiriaji Majengo Daraja la II
Ofisi ya Wakala wa Majengo Zanzibar

Kuhusu nafasi hii
Muhtasari wa nafasi
- Mkadiriaji Majengo Daraja la II – (ZPSG-08) Nafasi 1 – Unguja
Sifa za Muombaji:
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Mkadiriaji Majengo
(Quantity Surveyor au Building Economics) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya Kuomba:
- Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa
Maombi ya Ajira (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 16 Novemba, 2026 hadi tarehe 29 Novemba, 2026.
- Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi Serikalini
www.zanajira.go.tz.
- Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa
ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):-
Soma nafasi yote
ZANZIBAR
- Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.
- Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of Results”
pekee maombi yake hayatazingatiwa.
- Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini
kupitia simu Nam. 0773101012.