- Mwajiri
- Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar
- Eneo
- Unguja
- Tarehe ya mwisho
- 16 Oktoba 2026
- Nafasi
- 1
- Chanzo kilikaguliwa
- 3 Oktoba 2026
Sifa na majukumu
1. Mhandisi Ujenzi Daraja la II – (ZPSI-01) Nafasi 1 – Unguja
Sifa za Muombaji:
• Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
• Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi Ujenzi (Civil
Engineering) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar.