- Mwajiri
- Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar
- Eneo
- Unguja
- Tarehe ya mwisho
- 16 Oktoba 2026
- Nafasi
- 1
- Chanzo kilikaguliwa
- 3 Oktoba 2026
Sifa na majukumu
2. Mhandisi Umeme Daraja la II – (ZPSI-01) Nafasi 1 – Unguja
Sifa za Muombaji:
• Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
• Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi
Umeme (Electrical Engineering) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya Kuomba:
• Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa
Maombi ya Ajira (ZanAjira) kupitia anuani ifuatayo:
https://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 02 Oktoba, 202 6 hadi
tarehe 16 Oktoba, 2026.
• Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi Serikalini
www.zanajira.go.tz.
• Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa
ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR
• Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.
• Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of Results”
pekee maombi yake hayatazingatiwa.
• Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini
kupitia simu Nam. 0773101012.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA:
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI.
ZANZIBAR